Getrude Lwakatare ni Mchungaji, Mwanasiasa

Mzee hakuna cha Wachawi wala Wanga kuanguka Kanisani. Yote ni Mazingaumbwe ya kuwanasa Wajinga. Dili linapangwa na watu wanalipwa kujidai wameanguka kanisani kumbe ni uwongo tu!

Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba shetani nae anaenda na wakati. Kwa hiyo anajuwa kwamba ili kuwavuta watu ni lazima atumie njia ya Dini au wanaojiita Watumishi.

Maana siku hizi utasikia sijui Gongo la mboto kuna mtu anaombea huyo mara kule Masaki,ili mradi tu watu wapige Dili!

Washindwe ktk Jina la Yesu!!
Duh ujasiliamali mpaka madhabahuni Mungu atusaidie tu.
 
mimi nimekulia TAG sijawahi kumwamini huyu mama hata kidogo.mwaka 2002 nilialikwa na rafiki yangu nikasali hapo kufika tu mlangoni mwili na roho vikakataa kuingia kusali kanisa lake nikageuza na kumuacha rafiki yangu ameduaa siunajua sie wengine tuna machale ya kiroho. majuzi nimepewa stori zake zingine akihusishwa na uchawi na pia kuna mtu anafanya kazi kwenye taasisi zake aliniambia huyo mama akikasirika anatoa maneno machafu ukiambiwa ni mchungaji utabisha mchana kutwa na usiku kucha. huyu mama na yule anayejiita mzee wa upako hata ashuke Mnazaleti live akiniagiza kwamba kasali hapo hao ni watumishi wangu sitasadiki na wala sitaenda LIWALO NA LIWE MAANAKE MIMI NIMECHOKOKA NA HAWA WACHUMIA TUMBO AMBAO WANALIAIBISHA JINA LA BWANA KWA KUJIDAI WACHUNGAJI!
 
wewe una tatizo kidogo sana ukiwahi litakwisha, wewe unataka mbunge afanye nini zaidi ya kuhudhuria vikao vya bunge, kuchangia hoja, kutetea maslahi ya wananchi wake na watanzania kwa ujumla?! Umeona Mh. Lwakatare hafanyi hayo? (weka ushahidi kama hajafanya hayo yote au kaulize Ifakara), Pili: Wewe kwa upeo wako kazi ya Uchungaji ni kukemea maovu? Mchungaji huchunga kanisa kwa kufundisha neno la Mungu kwa usahihi na kumuandaa muumini kwenda mbinguni baada ya kufa kwake hapa duniani. Muumini akishalijua neno la Mungu, ni wajibu wake kuachana sasa na tabia zote mbaya ambayo ni kazi ya shetani. Ndio maana nakwambia unatatizo, lakini dogo sana , unahitaji tiba kiasi kidogo sana.

Mwisho, kama bado unahitaji mji, nenda Kanyigo na nakutakia safari njema. Naomba tafadhali usinisababishie ban siku ingine

Hare yangu mimi mwenye tatizo dogo! Kwa huu ujinga uliouandika tu hapa inaonyesha wewe una tatizo kubwa sana,nalo ni la kutojitambua.

Km sio kweli haya anayotuhumiwa nayo,mbona asijitokeze hadharani kukanusha? Je wewe mfuasi wake hukuwahi kuona ktk TV mafundi wa tanesco wakionyesha moja ya shule zake zilizokuwa zikitumia umeme wa wizi? Na je huo au hiyo ndio kazi za Mchungaji?
 
mimi nimekulia TAG sijawahi kumwamini huyu mama hata kidogo.mwaka 2002 nilialikwa na rafiki yangu nikasali hapo kufika tu mlangoni mwili na roho vikakataa kuingia kusali kanisa lake nikageuza na kumuacha rafiki yangu ameduaa siunajua sie wengine tuna machale ya kiroho. majuzi nimepewa stori zake zingine akihusishwa na uchawi na pia kuna mtu anafanya kazi kwenye taasisi zake aliniambia huyo mama akikasirika anatoa maneno machafu ukiambiwa ni mchungaji utabisha mchana kutwa na usiku kucha. huyu mama na yule anayejiita mzee wa upako hata ashuke Mnazaleti live akiniagiza kwamba kasali hapo hao ni watumishi wangu sitasadiki na wala sitaenda LIWALO NA LIWE MAANAKE MIMI NIMECHOKOKA NA HAWA WACHUMIA TUMBO AMBAO WANALIAIBISHA JINA LA BWANA KWA KUJIDAI WACHUNGAJI!

Nyie wote mmepotea! Hasa nyie mnaojifanya walokole! Mnakwenda makanisani kwa kufata majina ya hayo watumishi na injili nyepesi! Mnafata miujiza! Mkubali sasa kuongozwa na hao wachumia tumbo na matapeli na mafisadi wa kiroho! Someni maandiko muijue kweli! Kwani mkiijua kweli itawaweka huru Na hayo mapokeo Na mafundisho ya uongo!
 
Alishawahi kuhusishwa na madawa ya kulevya Sikh za nyuma akakanusha,lakini ni ngumu kuwa mchungaji wa kweli wakati ata familia yako inakushinda,hana mume anaishi kibachela,mtoto mlevi anapiga misele tu mtaani,ukiwa huna uwezo kanisani kwake,umekula kwako,kwa ujumla pale hakuna mchungaji,inawezekana tu akawa freemanson
 
To the law and to the testimony? If they don't speak according to this word, it's because there is no right in them. Isaiah 8:20,
here is the patient of the saints, here are those who keep the commandment of GOD and the faith of Jesus, Revelation 14:12,
I am your fellow servant, and of your brethren who have the testimony of Jesus. Worship GOD! for the testimony of Jesus is a sprit of prophecy. Revelation 19:10b
Law!
Testimony!
Prophecy!
Kama Hawa wanaojiita watumishi wa Mungu Kama hawazungumuzi kutokana na Haya hakuna NURU ndani Yao.
 
Nyie wote mmepotea! Hasa nyie mnaojifanya walokole! Mnakwenda makanisani kwa kufata majina ya hayo watumishi na injili nyepesi! Mnafata miujiza! Mkubali sasa kuongozwa na hao wachumia tumbo na matapeli na mafisadi wa kiroho! Someni maandiko muijue kweli! Kwani mkiijua kweli itawaweka huru Na hayo mapokeo Na mafundisho ya uongo!

niombe radhi ng'wanawane! hakuna sehemu yeyote ambayo nimesema mimi ni mlokole wala ninashabibikia miujiza wala majina ya watumishi au wanaojiita watumishi.For your information mimi nimeiona njia,nimeijua kweli na niko huru na zaidi ninautumaini uzima wa milele na kwenye hili nimeukaza mshipi kwelikweli. bahati mbaya hili jukwaa si la mambo haya ningepupa black and white usingeamini mwenyewe.
 
Sorry man! Tusome maandiko vizuri kuijua kweli
 
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.

Ni mfanya biashara. Huko kanisani na bungeni ni vivuli tu.
 
Sasa hapa Slaa unamungiza kwanini? Kwani Slaa ndo alie mpa huo Ubunge huyo mama?

Huyo jamaa --------,baada ya kukomaa na muuza madawa Huyo anaanza slaa,slaa,atakuoa shauri yako
 
Wana JF... Kwanza tunapaswa kutambua kwamba baadhi ya wachungaji ni wajasiriamali na si watumishi. Uchungaji umekuwa mwamvuli wa kuhalalisha maovu yao ndani ya jamii.. Cheo cha Ubunge kinawapa fursa zaidi kujineemesha. Mch. Lwakatare si msafi.
achen wivu wa kijinga
 
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.

Kipo anachokemea mbali na ufisadi anakemea, mapepeo machafu ,anaponya na kufanya miujiza lakini kumbuka mganga hajigangi, katika makundi hayo uliyoyataja hayupo hata moja maana anakuwepo katika kila kundi kwa wakati wake.
 
Mchungaji Rwakatareni:-
1. Mwizi wa umeme wa tanesco
2. Mwizi wa mtihani toka baraza hadi kwenye shule zake
3. Anatuhumiwa sana kuhusika na usafirishaji dawa za kulevya
CCM anaitumia tu kama kichaka cha kujicha na maovu yake

Ongeza na human trafficking
 
Back
Top Bottom