Getrude Lwakatare ni Mchungaji, Mwanasiasa

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.
 
Huyu mama uchungaji wake ni kichaka cha kuficha biashara chafu anazofanya. Hana lolote!
 
getrude lwakatare = padre slaa, mchungaji peter msigwa, mch.israel natse, nk
 
Mmmmmmhh! naogopa kukemewa kwa jina la.....,
 
Mkuu akisoma hii makala, lazima atakukemea ili PEPO mchafu aliyekusaidia kuandika hii akutoke kwa Jina la Yesu!! atakwambia Yesu hataki wawaona wanakondoo maskini ndiyo maana yeye kajengewa Hekalu akiwa angali duniani lakini nyie mnalipiga vita livunjwe!! hizo anaziita ni hila za shetani na zitashindwa tu na yeye atasonga mbele!!!
 
Uteuzi wa huyu 'mchungaji' kuwa mbunge wa viti maalumu ni thibiisho halisi kuhusu taswira ya cmm!
 
Wana JF... Kwanza tunapaswa kutambua kwamba baadhi ya wachungaji ni wajasiriamali na si watumishi. Uchungaji umekuwa mwamvuli wa kuhalalisha maovu yao ndani ya jamii.. Cheo cha Ubunge kinawapa fursa zaidi kujineemesha. Mch. Lwakatare si msafi.
 
MAMA MCHUNGAJI baada ya kuchunga kondoo wa bwana yeye anachunga punda wa babu wanaosafirisha sembe na magendo ndani na nje ya nchi. Duh kweli dunia ina mambo.
 
Huyu mama uchungaji wake ni kichaka cha kuficha biashara chafu anazofanya. Hana lolote!

Pia rwakatare akishirikiana na mitume na manabii wenzake toka kongo wanaendesha vitendo vya ubakaji kwa watoto wetu. Pamoja na kuwasafirisha nje ya nchi
 
Sio nia yangu kumchafua au kumkashifu Mch Kwakatare. Lakini nimekuwa na maswali mengi sana juu ya Ubunge na Uchungaji wake ukizingatia kwamba Kiongozi yeyote ktk jamii awe anatokana na Dini au Siasa kazi yake kubwa ni kukemea Uovu!

Ni takriban miaka 6 kama sio 7 sasa tangia Mama yangu huyu kuingia ktk ulingo wa Siasa. Binafsi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Vipindi vya bunge lakini sikumbuki na sijui km kuna siku niliwahi kumuona Mama Lwakatare akipinga Ufisadi Bungeni. Zaidi sana niliwahi kumsikia akimuomba waziri husika kuifungia Jamii Forum.

Kuna usemi umeenea sana Mijini kuwa CCM ni Ukoo wa Panya,kwa kuwa Baba,Mama,Babu,Bibi,Dada,Kaka,Shangazi na Mjomba wote ni Wezi! Siamini hakika km ni kweli kwa 100% lakini yawezekana kwa 99%.

Kuna wengine wameenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM ni Janga hata ukamchukuwa MALAIKA ukamuweka humo bado tu atakuwa Fisadi.

Wiki iliyopita Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Tereza Huvisa akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili, Ardhi na Mazingira, iliyokwenda kumtembelea Ofisi za Baraza la Mazingira (NEMC) aliwataja Vigogo watatu jijini Dar es salaam kuwa ni "WAVAMIZI" Sugu wa Ardhi.

Huviza alikuwa akiogopa kuwataja kwa majina vigogo hao lakini mwenyekiti wa kamati hiyo James Lembeli alimkasirikia na kumhoji ni nani huyo alieko juu ya sheria kiasi cha kumfanya aogope kumtaja licha ya kuwa kavunja sheria.
Kufuatia shinikizo hilo, Waziri aliwataja wavamizi hao sugu wa Ardhi kuwa ni, Mbunge wa Singida Mjini Mohamed Dewji, Mbunge na Mch Getrude Lwakatare na Patrick Lutabanzibwa.

Getrude Lwakatare Mchungaji na Mbunge wa viti maalum(CCM) alishatajwa pia hapo nyuma ktk Orodha ya wanaodhaniwa kuwa ni "WEZI SUGU" wa umeme,ingawa hadi sasa hatukusikia alichukuliwa hatua gani.

Kama nilivyosema hapo mwanzo kuwa Sio nia yangu kumchafua Mama Lwakatare ila ukweli nimeshindwa kujua kuwa yupo kundi lipi, kwa kuwa Kanisani kwa cheo cha Uchungaji yupo, Bungeni kwa Cheo cha Ubunge akiitwa yupo,na Kwa WAHUJUMU na Wavamizi wa mali za Umma yupo!

Ndio maana nauliza Getrude Lwakatare ni MCHUNGAJI, MBUNGE, au ni MUHUJUMU UCHUMI? Nashindwa kidogo kumfananisha Getrude Lwakatare na Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini au Mbunge na Mch Israel Natse wa Karatu ambao wamekuwa mstari wa mbele kukemea Maovu ndani na nje ya Bunge.

Samahani kwa yeyote nitakae kuwa nimemkwaza.

Huyu bibi ni mshirikina sana na juu ya yote ni drug dealer.
 
arifu,mi huyu maza huwa simuelewi elewi kabisa aisee,kama uchungaji ndo huu basi kanisa limevamiwa.mbona wengine wa aina yake wanakemea uovu?wako bungeni wanapiga kazi at the same time wanahudumu kama wachungaji na kukemea maovu ya nchi.au tuseme dhambi ni kwa watu wa hali ya chini ila wale wa hali ya juu kuiba au kupora huwa sio dhambi?
 
Back
Top Bottom