Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Jikaze kike kike hivyo hivyo bibie! Nakuja baadae nikupe siri ya kobe kutembea na nyumba yake...Naogopa mie mtoto wa kike
usisikie kabisaNashukuru hata mimi sijasikia
Single bwoy huku hapanihusu...!!! Pole dada la0..!!
asanteni nishapoaUgua pole shem
asanteni nishapoa
Ugua pole
alokwambia upite hapa nani hujalazimishwa kukoment
hehehehe kila mtu atapata wa kufanana nae