Last edited by a moderator:
aisee!
upo? long time no see!
em chukua reputation hiyoo kushoto kwako! ole wako sasa usiijibu!..
asubuhi njema!
mambo mume wanguni nini tena kwani?
bado dear kuna dawa natumia ila isiku silali ndo linauma zaidi
hata sielewi utu uzima huu infection ya sikio imenitokea wapi
Duh!!!chukua like hiyoo
mi mbona hujanipa rep king
mbona nishakupa?
em niambie una ngapi kwanza malikia!
nani kakuita
tumeruka pamoja sehemu nyingi, kuanzia kwa charty hadi kwa kan'tangaze.. i never harm ur miss neddy!!
let ur service to my shansarie bn not in money side.
Hajaniita mtu, ila huu ujinga pelekeni chitchat