excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
hazijafika bilioni lol
niambie kwanza ni ngapi!
nahisi nimekukamata hapooo! hahahaa!
hivi unajua una post ngapi mpaka sasa hivi?
hazijafika bilioni lol
pacha hizi dirt words umetoa wapi?
Kama hujapendezwa report abuse afu suggest something... utaona after some times!
aisee!
upo? long time no see!
em chukua reputation hiyoo kushoto kwako! ole wako sasa usiijibu!..
asubuhi njema!
namshukuru mungu
lord have mercy on youKumbe anaumwa ears mi' nilijua papuchi, dawa yake chukua bangi mbichi kamulia maji yake kwenye hizo ears kitu kitajipa, ila usisahahu kuendeleza libeneke!
balaa hilokaribu tena jukwaani walikupa chips wakati unaumwa au?
mwone ladyf yeye alikuwenda kabisa kununua kisha alipoona
kuku hawapo ona alivyosema hapaView attachment 179568
alokwambia upite hapa nani hujalazimishwa kukomentHajaniita mtu, ila huu ujinga pelekeni chitchat
asante nitaendakapime