Get well soon mimi

Get well soon mimi

Hahahahaaa hayo mafua yako ni nanii zimezidi tu hakuna lolote....wasiliana na sosoliso aje akupe tiba chap.

BTW nakumiss sana sijakuona long time Paloma
Vip mzima wewe?

Tunalala vyumba tofauti na mafua yake.. Maana tatizo akipona yeye yanaweza kuhamia kwangu halafu ikawa shida zaidi..
 
get well soon.jpg
 
Hahahahaha...sante kwa kunifanya nicheke
Shem nitafanya hivyo,sante kwa salam ya pole
Salimia mamsup wako
Fasta kapime ngoma kwani hatumwamini mumeo Erickb52 ashakuwa chovyachovya aliyekubuhu.


In the serious tone, get well soon, twakupenda Chocs.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom