Get well soon mimi

Get well soon mimi

Habari za asubuhi,

Sauti inakwama haitok vizuri,nikimeza mate naumia mpaka nahisi machozi yananitoka..kichwa kizito kinauma,mafua ndo usimeme..kifua kinauma yani kukatia kifuani kupanda juu panauma
Sina raha kabisa nahisi kuboeka na kero tu..

Ee Mungu uniponye afya itengemae.

Bibie unaumwa hata hatupeani taarifa utadhani tumegombana bwana! Anyway pole and get well soon.
 
Haya bembeleza mgonjwa basi mi nitakuja panapo majaaliwa...🙂
Haya mimi49 pamekucha!
Mgonjwa bado hana nafuu sana ila si kama jana!
Kuna baridi sana leo ndio inayokwamisha kupona kwake ila atapona soon1
Karibu sana kumuona!
 
Last edited by a moderator:
sio alimonia kweli hiyo??!?! nenda hospitali best......pole sana mwaya
hata mie niko hoi kwa mafua na sore throat sema kifua hakiumi!!! ila sauti inakaukakauka!!!
 
sio alimonia kweli hiyo??!?! nenda hospitali best......pole sana mwaya
hata mie niko hoi kwa mafua na sore throat sema kifua hakiumi!!! ila sauti inakaukakauka!!!
Hahahahaaa hayo mafua yako ni nanii zimezidi tu hakuna lolote....wasiliana na sosoliso aje akupe tiba chap.

BTW nakumiss sana sijakuona long time Paloma
Vip mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa hayo mafua yako ni nanii zimezidi tu hakuna lolote....wasiliana na sosoliso aje akupe tiba chap.

BTW nakumiss sana sijakuona long time Paloma
Vip mzima wewe?

hiyo thiori sijui nani kaianzisha! mi huu nimeupata kutokana na kuwa exposed to vumbi and nilibwia mivinywaji ya baridi sana, na mimoshi kibao!! sasa naniliu zinahusikaje hapo!!! eboh!

hehehee mie nipo sema mkoloni tu ndo ananiyumbisha hapa....
mambo ni aje?
 
Hahahahaaa theory zinaaply
Mambo poa tunakomaa kudumisha fikra za mwenyekiti tu lol
 
Poa kaka niko namuuguza wife.
Hatuonani mtaani kwetu siku hizi

Kaka mkeo atapona wala usitie shaka...

Dah nimekuwa mkimbizi hapa mtaani...tokea waanze kutafutwa wazungu wa unga basi watu hawachoki kuhusisha hii mifweza niliyonayo na hiyo mambo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom