Get well soon mimi

Get well soon mimi

sio alimonia kweli hiyo??!?! nenda hospitali best......pole sana mwaya
hata mie niko hoi kwa mafua na sore throat sema kifua hakiumi!!! ila sauti inakaukakauka!!!
Pole mwaya...is sosoliso take a good care of you?
Utapona mpenzi
 
Last edited by a moderator:
Yaani sijatoka ubavuni kwake toka ayapate haya mafua shem Chocs.. Atakacho anapata sema tatizo anang'ang'ania kifanyio wakati anaumwa.. Hebu muambie mgonjwa anatakiwa asisumbuliwe..
Lol shem...kwani kifanywa na mafua vinahusiana?
Mpatie bwana haki yake ya ndoa!
 
Pole mwaya...is sosoliso take a good care of you?
Utapona mpenzi
sosoliso anajitahidi naendelea vyema!!!

Nipo mie Chocs sema shoga ako Paloma anakaba mpaka penati.. Nina log book ya kuandika nyendo zangu zote..
Hope uko pouwa sasa..

nawe kwa umbea....sasa siri za ndani ya nini kuazianika huku?!?!?

Yaani sijatoka ubavuni kwake toka ayapate haya mafua shem Chocs.. Atakacho anapata sema tatizo anang'ang'ania kifanyio wakati anaumwa.. Hebu muambie mgonjwa anatakiwa asisumbuliwe..

yeeeeuuuwiii!!!! sosoliso.............!?!?!?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom