Get well soon mimi

Get well soon mimi

Nashukuru sana kwa salamu za pole shemeji Judgement kabanga TANMO sante sana, Munkari shemeji yako analifahamu hili and he is taking good care of mimi,asante sana

My wii Madame B sijui nini kimempata kaka yako siku hizi naona ntaitisha kikao cha familia, sis charminglady i appreciate your concern sungura1980 sante

Mungu ni mwema nitapona tu naamini hivyo

Nawapenda sana
 
Last edited by a moderator:
sasa nahisi nakujua....kuna mtu hapa nilipo ana dalili zote kama zako !
upone haraka mtu wangu!...ila sogea hospitali I wish I could help but kwa hili si upande wangu...
Asante shem wangu.....mmmmh hapana sio mimi aisee
Shaenda nakunywa dawa chungu hizo!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Chocs ndo maana leo haupo kwen mood..kama upo mazingira yetu ya Mbu hizo ni dalili za malaria
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom