Get well soon mimi

Get well soon mimi

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
8,447
Reaction score
4,842
Habari za asubuhi,

Sauti inakwama haitok vizuri,nikimeza mate naumia mpaka nahisi machozi yananitoka..kichwa kizito kinauma,mafua ndo usimeme..kifua kinauma yani kukatia kifuani kupanda juu panauma
Sina raha kabisa nahisi kuboeka na kero tu..

Ee Mungu uniponye afya itengemae.
 
sasa nahisi nakujua....kuna mtu hapa nilipo ana dalili zote kama zako !
upone haraka mtu wangu!...ila sogea hospitali I wish I could help but kwa hili si upande wangu...
 
Pole sana jamani! Shemegi anajua hilo? Mungu akuponye !
 
Mmmmmmmmmmmmh.... Shost pole sana, unajua kwanini unaumwa umwa! Ngoja nimuite Erickb52 akuje pande hizi, utapona haraka sana.....

Feel better sooon mum!
 
Last edited by a moderator:
Jamani bby wangu poleeee
Mungu yu pamoja nawe na nakuomba uamini nguvu zake utapona! Arabela naomba ukamsaidie mwenzio anaumwa mi nitakuja baadae eeeh!

Pole mpenzi wangu Chocs
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi,

Sauti inakwama haitok vizuri,nikimeza mate naumia mpaka nahisi machozi yananitoka..kichwa kizito kinauma,mafua ndo usimeme..kifua kinauma yani kukatia kifuani kupanda juu panauma
Sina raha kabisa nahisi kuboeka na kero tu..

Ee Mungu uniponye afya itengemae.
Pole dada,ugua pole...
 
Get well sooon mamy eeeh. Poleeeee
 
Jamani bby wangu poleeee
Mungu yu pamoja nawe na nakuomba uamini nguvu zake utapona! Arabela naomba ukamsaidie mwenzio anaumwa mi nitakuja baadae eeeh!

Pole mpenzi wangu Chocs
Amen, Mungu ni mwema ntakua fureshi tu inshallah
Much thanks hanii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom