Get well soon Madame B

Get well soon Madame B

Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema tunakutaja daima MUNGU wetu kwani hakika haujatupungukia Mungu. Naenda kinyume kabisa na nguvu ya mwovu shetani hana mamlaka kamwe kwa watu wako MUNGU wetu. Nguvu za giza zote tunazikataa kuanzia sasa tunaenda nao kinyume kbs kwa watu wako Bwana wetu.

Mwenyenzi Mungu mpe kupona mapema huyu Dada.
Tunaomba hayo katika nguvu yake Bwana wetu anayeishi sasa na hata milele.

Madame B pole sana na ugua pole na Mungu mwenye mwingi wa Rehema atakuonekania.

Asante sana LiverpoolFC...
Unakumbuka pale Harusini nilisema kuwa najihisi vibaya?
Ndio hvo bhana, ila namshukuru Mungu kwani nimetoka na naendelea vizuri.
Asante sana kwa sala zako.
Na ubarikiwe sana mpendwa.
 
Last edited by a moderator:
Jana Madame B aliumwa gafla ucku wa sa 9, ikabidi akimbizwe hospital kwa Dr.Mvungi, amekutwa na malaria, na sehem ya uti wa mgongo yamuuma, kiac ambacho anashindwa kukaa vizuri, na alibanwa na pumzi, tunakuombea kwa M/Mungu upone haraka, na unywe dawa, pole sana, salam kwa cc

Asante sana dada angu Kijino...
Nashukuru kwa kuwapa memberz wenzangu taarifa.
Nashukuru kwa kuja kuniona na asante kwa "mkono wako".
Mungu akubariki sana.
Amina.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom