Get well soon Madame B

Get well soon Madame B

Jamani sina jinsi ya kuwashukuru Memberz wenzangu woote kwa Maombi na Sala zenu wana JF, hatimaye nimetoka hospitali baada ya heka heka za tangu usiku wa Juzi.
Namshukuru Mungu nipo salama japo si kiviile kwa 100%.

Kikubwa ni Pumzi tu.
Namshukuru dada Kijino kwa taarifa, Kaka Bishanga na kaka sungura1980, kula kwa tindo kwa upendo wenu kwangu...Mungu awazidishie.
Wote mlionipigia simu, message na aina yoyote ya ujumbe.
Mungu awabariki sana,nawapenda sana Memberz wangu jamani.
Asanteni kwa kunifariji.

Oh,ahsante Yesu!
Pole dadangu Madame B,MUNGU azd kukugusa.
 
Last edited by a moderator:
dada unywe dawa na usisahau kutuletea taarifa ya maendeleo ya afya yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom