Get well soon Madame B

Get well soon Madame B

Pole sana Madame B,vip unaendeleaje?Bado upo hapo hospital?Mungu akuponye haraka sana uendelee kulitumikia taifa.Kama bado upo hapo hospital kwa Dr Mvungi ni PM tafadhari unatumie jina uliloandikisha na upo wadi gani nitakuja kukujulia hali asubuhi.Get well soon

sungura1980, nashukuru kwa kuja kuniona pamoja na "mkono wako".
Mungu akubariki sana kakangu.
Tutazidi kuwasiliana.
 
Last edited by a moderator:
Shem hivi kumbe muda wote kule MMU tunachat sikujua kama afya yako i dhoofu ili hali maana sikupita kabisa huku CC.
Pole sana shem Mungu akuponye na urejelee uzima..

Asante sana shem wangu watu8.
Ndio bhana si unajua tena nilikuwa najikaza tu kule MMU.
Barikiwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Mshtuko! Uzi umenshtua.
Nakuombea love urudi haraka kwenye hali yako ya kawaida.

Asante wangu wa Baadae Bishanga.
Barikiwa sana, wewe pamoja na "mkono wako".
Mungu akusimamie katika kila hitaji lako.
 
Last edited by a moderator:
Ish.... thread imerushwa saa. 12 na dk 57, saa moja na dk 13 ushaleta kiherehere chako kupost JF. Hebu kalale uko umbea utakuua. Sikup pole wala nini.

Ugua pole mwaego. Ukifa tukuzike wapi?

Hahaha!
Na sifi ng'oo, mpaka Fesibuku Pub pafe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom