Get well soon Madame B

Get well soon Madame B

Madame B bado nakuona unachungulia, nitamwambia Dr akudunge ya usingizi....!

Punzika bhana, you need to rest best..ndo utapona haraka mammy
 
Last edited by a moderator:
Madame B bado nakuona unachungulia, nitamwambia Dr akudunge ya usingizi....!

Punzika bhana, you need to rest best..ndo utapona haraka mammy

Hahaha!
Meona eeh?
Inabd m2 kuchomwa sindano ya ucngz aisee,mana kuish bla Jf tabu tupu!
Pole sana Madame B.
 
Last edited by a moderator:
Shemeji yangu pole sana!
Kumbe "malaria haikubaliki"
hawasemagi kweli.
 
Hahaha!
Meona eeh?
Inabd m2 kuchomwa sindano ya ucngz aisee,mana kuish bla Jf tabu tupu!
Pole sana Madame B.

Yaani mkuu acha..bila JF saikolojia ya akili haiende mbele ujue.

Na ukute Madame B anapata nafuu ajili ya kuchungulia chungulia humu. Lakini ndo apunzike kwanza...aumwa atii
 
Last edited by a moderator:
Yaani mkuu acha..bila JF saikolojia ya akili haiende mbele ujue.

Na ukute Madame B anapata nafuu ajili ya kuchungulia chungulia humu. Lakini ndo apunzike kwanza...aumwa atii

Haya mpenzi.
Ngoja nipumzike my dear.
 
Last edited by a moderator:
Upone fasta shem langu , urudi uraiani uendeleze kuparika!
 
jamani bestito pole sana tena sana Mungu atakuponya tunalkuombea
get well soon best
Jana Madame B aliumwa gafla ucku wa sa 9, ikabidi akimbizwe hospital kwa Dr.Mvungi, amekutwa na malaria, na sehem ya uti wa mgongo yamuuma, kiac ambacho anashindwa kukaa vizuri, na alibanwa na pumzi, tunakuombea kwa M/Mungu upone haraka, na unywe dawa, pole sana, salam kwa cc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom