Get well soon Madame B

Get well soon Madame B

Tupo pamoja dada yangu, vipi unaendeleaje lakini?

Madam bado anaumwa, na nimeambiwa ucku huu kuwa amerudishwa tena hospital, wamemwekea dripu, hali yake c nzuri, tumwombeeni apone
 
Madam bado anaumwa, na nimeambiwa ucku huu kuwa amerudishwa tena hospital, wamemwekea dripu, hali yake c nzuri, tumwombeeni apone
Jamani, mungu atamponya mpendwa wetu.
 
madame ni kinasumbua zaidi na uko hospital gan nije nikuone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom