Get well soon Madame B

Get well soon Madame B

Nipo Hospital, Madame b anaendelea vizuri, yupo ward no.12. Bado hatujajua ataruhusiwa saa ngapi
 
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii taratibu jirani......
hata kama siyo watoto wa kitanga wanaishi huko........
hala hala usije ukarudi kwenye ambulance

Ha ha ha dada usihofu. Vigezo na masharti vinazingatiwa. Arabela mambo?
 
Last edited by a moderator:
Ish.... thread imerushwa saa. 12 na dk 57, saa moja na dk 13 ushaleta kiherehere chako kupost JF. Hebu kalale uko umbea utakuua. Sikup pole wala nini.

Ugua pole mwaego. Ukifa tukuzike wapi?

Mhh Asprin
 
Last edited by a moderator:
Get well recovery Madame B. God is great, he will give you a healing power
 
Last edited by a moderator:
Jana Madame B aliumwa gafla ucku wa sa 9, ikabidi akimbizwe hospital kwa Dr.Mvungi, amekutwa na malaria, na sehem ya uti wa mgongo yamuuma, kiac ambacho anashindwa kukaa vizuri, na alibanwa na pumzi, tunakuombea kwa M/Mungu upone haraka, na unywe dawa, pole sana, salam kwa cc

Pole saana Madame B..
Tuko pamoja kwa Maombi Mungu wetu ni mwema siku zote na Maombi yetu yatajibiwa,soon as utakua pouwa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom