ugua pole Lady doctor na tunakuombea uponaji mwema na Mwenyezi Mungu awe nawe
Wakuu kusema kweli shemeji yenu/wifi yenu Lady doctor anaumwa na tumbo, madaktari wamempima wamemkuta na tatizo la food poison ambalo hutokana na vyakula tuvilavyo hasa mboga za majani zilizowekwa mbolea za viwandani muda mfupi kabla ya kuvunwa na kuuzwa au matunda and so on.
Alimeza dawa jana ila leo ndio amefanyiwa vipimo kwa kina baada ya hali yake kutobadilika sana baada ya dawa za jana.
Sasa ameshatumia dawa na amelala, nitawajulisheni hali yake baadaye.

Mr & Mrs imebaki historia marejesho keshaolewa zake

Good news!!!! Filipo alizoea kutukoga sana.
Yamekuwa hayo?? Kwa hiyo St. Paka Mweusi keshajimilikisha mzigo sio? Ohh mke wangu marejesho analea mtoto kumbe fix za Filipo tu. Hayo mambo yaliharibikia pale WHITE PARTY 2012 wajanja tunajua.
St. Paka Mweusi popote ulipo msalimie sana mkeo marejesho na huyo mtoto wenu.
Kalaghabhao ndg yangu Filipo zubaa uchekwe... hamia eatel fasta.
Ahsante kwa taarifa Erickb52.