Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Umeyagoroga mwenyewe Mr Rocky
Mi sina tatizo nimejituliza zangu
BTW
Mbona tangu Remmy aizame kwa PakaJimmy amepotea sana aisee?
Last edited by a moderator:
Umeyagoroga mwenyewe Mr Rocky
Hahahaha! Kapalampya we huwa husemi?kuna mtu ukiona mpaka kaongea kuwa anaumwa ujue kweli katingwa pole
kuna mtu ukiona mpaka kaongea kuwa anaumwa ujue kweli katingwa pole
Asante Marry Hunbig
naendelea vizuri
Ameeeen!Amen,MUNGU wa mbinguni ashukuriwe kwa uponyaji wake.