Get well soon Erickb52

Get well soon Erickb52

Ha ha haha... Huku CC ni "Mtakuja"... Acha tupunguze zetu pressure bana... Tunajiandaa na mwisho wa "Dunia" 21st Dec ... Hujaona mpaka Rejao anapita haya maeneo?
Hahahaha....huku ni sehemu ya kupunguzia stress baada ya vurugu za kule kwenye siasa!!
 
dawa yake ni ...

428865_291877670933776_1605509691_n.jpg
 
ukitaka kum quote mtu unaweka hii herufi @ then unaandika id yake itatokea automaticaly ila usiache nafasi kati ya hiyo @ na ID mfano ladyfurahia

Safi sana kwa kufundisha ila ngoja nimuongezee maujanja tena.

ladyfurahia angalia ID (jina la member) imeandikwaje, kama inaanza kwa herufi kubwa au ndogo, andika hivyo hivyo bila kukosea, LAKINI kabla hujaandika tanguliza hii kitu @ bila space, ukimaliza jina au ID inasomeka na kama umemtaja, automatic anaona alert kwenye NOTIFICATION yake. Huna haja ya kubold ID ya mtu.


Mfano Arushaone inaonekana kama andishi la kawaida tu,
Arushaone ifuatayo nitaweka @ pale nyuma ya A
@ Arushaone hii haibadiliki mpaka niunganishe @ na A
Ndio hii sasa Arushaone.

Kumbuka ukisha send ndio utaona imebadilika. Jaribu na wewe sasa mtoto mzuri eeh!



Ualimu kazi kwelikweli, pole kwa mwalimu gfsonwin na mwalimu snowhite.
 
Last edited by a moderator:
safi sana kwa kufundisha ila ngoja nimuongezee maujanja tena.

ladyfurahia angalia id (jina la member) imeandikwaje, kama inaanza kwa herufi kubwa au ndogo, andika hivyo hivyo bila kukosea, lakini kabla hujaandika tanguliza hii kitu @ bila space, ukimaliza jina au id inasomeka na kama umemtaja, automatic anaona alert kwenye notification yake. Huna haja ya kubold id ya mtu.


Mfano arushaone inaonekana kama andishi la kawaida tu,
arushaone ifuatayo nitaweka @ pale nyuma ya a
@ arushaone hii haibadiliki mpaka niunganishe @ na a
ndio hii sasa Arushaone.

Kumbuka ukisha send ndio utaona imebadilika. Jaribu na wewe sasa mtoto mzuri eeh!



Ualimu kazi kwelikweli, pole kwa mwalimu gfsonwin na mwalimu snowhite.
asante sana Arushaone nimepitaga jeshini mimi mambo yangu so short short hahahah
 
Last edited by a moderator:
jamani haya asante mwalimu @A nashukuru kabisa

be blessed pokea zawadi hii kwa kunifundisha vyema
 

Attachments

  • mremblo.jpg
    mremblo.jpg
    9 KB · Views: 18
ila mwalimu sijaelewa vizuri kabisa somo lako bora la nivea nililielewa lako ni gumu sana Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Umepitwa sana kaka, tena usipoangalia mahari watakula wengine!
Hapa ndio nimeingia kukaba...yaani sisy unataka kuchukuliwa hivi hivi bila mi kujua...lol. inabidi kuanzia sasa PM zote ziwe zinapita kwangu kabla hazijafika kwa nitonye
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom