Mi bado siku chache niende...nikifika maeneo lazima nikutafute!!Yaani hunifikii mimi jamani, ni nini lakini unajificha hivyo?
Safari nakusikiliza wewe, mie si unajua nipo karibu, ukianza kuja nambie nami nifungashe!
jamani haya asante mwalimu @Arushaone nashukuru kabisa
be blessed pokea zawadi hii kwa kunifundisha vyema
Hiyo dhawadi inayofanywa dina........mmmmh!!!NAshukuru kwa zawadi, nitamfanya dinner ya leo.
We ukosekane tena???Hehehe, ntafurahi kweli kukuona dia! Zawadi na mimi nimo.
Heheheheee Rejao usijali naona unataka sweetlady achukue nafasi ya Cantalisia ila angalia sana nitonye asikugeuze biringanya lol
Sasa naomba kuanzia leo uwaambie watu wewe ni wanguhapo patakuwa patamujeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
Hivi umeona maandishi ama picha???
Heheheee kuna wanaoshindwaga magamba yao Mr Rocky
Hahahahaaa na bado hadi kieleweke
Jiume weeeee ila kwa Dena Amsi umegonga mwamba
Maandishi huoni hata picha?
Nenda zako Meatu ukalee wanao