@Erickb52, Mungu akuponye arifu, pokea uponyaji sasa!
Tayari yupo anakunywa ndofu
We naona unantaka wakati bado u mgonjwa! Haya nambie wewe ulikuja kufanya nini mpaka ukamfuma Mr Rocky?
Hahahahahaha! platozoom ahsante kwa kumwambia mgonjwa dawa lol. Anavyopenda viroba nahisi atakunywa kutwa mara 7.Pole sana Erick Nzambe atakulinda. Ila dawa ya tonsils ni kiroba kimoja asubuhi na jioni, sijawahi kutumia ila ni maneno ya
Bush Doctor..................desh desh
Amen! Kwa maneno haya kutoka kwa Mzee Mwanakijiji Erickb52 usipopona hizo tonsils "nenda kapime ngoma" sosi: Arushaone!Mungu mwenye huruma mwenyewe akurudishie nguvu na afya ya mwili na roho. In nomine Patri, et Filii, et Spiritus Sanctus.. Muzina i Tata, ne kimwana, ne Kisere Santu - Amen!! Upone!
Amen! Kwa maneno haya kutoka kwa Mzee Mwanakijiji Erickb52 usipopona hizo tonsils "nenda kapime ngoma" sosi: Arushaone!
Lol Kipipi hutaniwi?
Hebu nithibitishie kwa kuandaa ndizi safiiii za kule Moshi
Sitaki!
Hahahahaha! We jishaue afu uone kama ukifika huku nani atakupeleka kuzurura! Nakuangalia tu!
Mh haya nimefuta kauli mama njoo uniliwaze!
Yaani ndo unazidi kuniudhi kabisaa,
Bora tu unyamaze!