Get well soon Erickb52

Get well soon Erickb52

Last edited by a moderator:
haaaa! Mungu baba hiyo hainifai kabisa jamani arushaone kwanini umeamua kuniwekea hiyo chupa hapa,
ushindwe na ulegeee arushaone, unataka kuleta balaaa ushindwe mm sitaki kabisa hiyo niilifikiri ni hii hapa
 

Attachments

  • jj.jpeg
    jj.jpeg
    9 KB · Views: 22
haaaa! Mungu baba hiyo hainifai kabisa jamani arushaone kwanini umeamua kuniwekea hiyo chupa hapa,
ushindwe na ulegeee arushaone, unataka kuleta balaaa ushindwe mm sitaki kabisa hiyo niilifikiri ni hii hapa
Tena ukijaribu lazma ukatafute Lady Pepeta unifuate mwenyewe lol
 
hata huyo nae alikuwa mgonjwa mkikutana itakuwa vizuri sana tofauti ni kuwa Dena Amsi anajua chanzo cha ugonjwa wake wewe hujui chanzo wala unaumwa nini
Teh chanzo changu ni kujioverdoze nivea
Nilikuwa nakomaa kujaza mashimo yasiyojaa lol ndo chanzo dada.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom