Get well soon Erickb52

Get well soon Erickb52

jamani nasema staki kunywa juice ya aina hiyo kwan arushaone amenitumia kwa njia ndege ya ungo nami nimeirejeza kwa ndege ya fastjet staki itanifanya nimkosee muumba bure mr. locky mwambie mgonjwa erickb52 asinywe hiyo anywe hii hapa nimemtumia
 
amesema hawezi kunywa hiyo eti akinywa anahisi kihindi hindi na anaona nyota nyota za kizungu ndo maana anpendelea ndyofu
 
acha niwatumie kidogo kaka yangu akiw anapiga keyboard hapo anafeeling za juu

ona sasa special kwa arushaone, madameB, na watu8 pamoja na mgonjwa erickb52 hii ni kwake atapata nafuu akiiona hasa hasa erickb52 jerry2.jpg
 
jamani nasema staki kunywa juice ya aina hiyo kwan arushaone amenitumia kwa njia ndege ya ungo nami nimeirejeza kwa ndege ya fastjet staki itanifanya nimkosee muumba bure mr. locky mwambie mgonjwa erickb52 asinywe hiyo anywe hii hapa nimemtumia

ukitaka kum quote mtu unaweka hii herufi @ then unaandika id yake itatokea automaticaly ila usiache nafasi kati ya hiyo @ na ID mfano ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Arushaone namvutia sana kamba mwache tu iko siku yake chakukuumiza roho nini? sweetlady nshamtoa nduki mbaya huyo marejesho nafuatilia nyendo zake ntamsuta mpaka ahamie kule siasa.

Ha ha haha... Huku CC ni "Mtakuja"... Acha tupunguze zetu pressure bana... Tunajiandaa na mwisho wa "Dunia" 21st Dec ... Hujaona mpaka Rejao anapita haya maeneo?
 
Last edited by a moderator:
hahahaha nivea mie pia nakuvutia kamba. Ushapata wa kwenda nae tanga? Si unajua KakaKiiza ntakuwa nae bega kwa bega eeh.

kumbe huna taarifa nshamrudisha kwa Preta mie ,kamrushe roho preta nina kitu kingine genuine made in heaven utakiona tena cheupeeeeee na kaka yangu Erickb52 keshakula mahari huoni KakaKiiza kakimbia jamvi umemwona lleo wewe kibuti noumer
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom