Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
jamani ni nini tena x-mke mwe,,,,,!!!
pole sana "charminglady!
pona haraka!
nna RB yako nikikukamataaa
Mtambuzi ndo natoka kumuona kipenzi cha roho yangu charminglady. Ten bahati nzuri baba mkwe watu8 nae nimemkuta...
Wapendwa wanafamilia ya JF, Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeruhusiwa, pia nawashukuru kwa sala na dua zenu....
Mungu awabariki....
Hii chai ya mgonjwa na mie naiomba...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wapendwa wanafamilia ya JF, Namshukuru Mwenyezi Mungu nimeruhusiwa, pia nawashukuru kwa sala na dua zenu....
Mungu awabariki....
pole Charming ..........