ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Sijaona hoja hapa!
tena anaonekana naye na mpenda gesti bubu..
Sijaona hoja hapa!
Alafu chakushangazi nauli ya kwenda tegeta ni rahisi kuliko kulipia guest!Uliishiwa pesa ya wese mzee? Saa tatu usiku barabara nyeupe kabisa kwenda Tegeta iweje ukalale mabibo?Iko namna hapa