Gesti bubu zinazotoa huduma ya ngono

Gesti bubu zinazotoa huduma ya ngono

Matunda na sinia la mihogo mibichi.............
Wakati wewe una allergy na 'wachafuchafu' yeye akiwaona anachanganyikiwa!!
Mtu ananunua mihogo yote na machungwa yote,,,,,,,,,,then anaelekea nae mabibo!!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hivi jamani mtu unaishi tegeta unachukua gesti?? kweli nimeamini gesti ni nyumba za wenyeji!!!
 
Mkuu wese bei gani na guest bei gani kwani unataka kusema wese la buku kumi hafiki tegeta maana hapo ni lita 4naushee sema jamaa anaishi kama kenge kokote kambi ilimradi kuwepo na unyevunyevu!!!
 
Dizain jamaa wameshamuambukiza ile kitu ya kusababisha nanihii kutoa maji maji kama maziwa ndo maana amekurupuka na kupost kwa hasira..

Mkuu, next time hakikisha una zana kamili za kutafunia mawindo

Shame
 
Walikuwa wanalipia kwa sekunde ndo maana uliona show busy
 
Mkuu wese bei gani na guest bei gani kwani unataka kusema wese la buku kumi hafiki tegeta maana hapo ni lita 4naushee sema jamaa anaishi kama kenge kokote kambi ilimradi kuwepo na unyevunyevu!!!

Hizo gest alizosema hapo na huo ububu hazizidi buku 3......, lita moja tu hiyo ya wese
 
Wakati wewe una allergy na 'wachafuchafu' yeye akiwaona anachanganyikiwa!!
Mtu ananunua mihogo yote na machungwa yote,,,,,,,,,,then anaelekea nae mabibo!!!

Akirudi Tegeta home kwenye buti ya gari mihogo mibichi na machungwa kibao utadhani katoka sokoni au shamba🙂

Mzee wa BUBU; kama ulipona kwa mkeo kusikiliza na kukubali weak story yako usijejaribu tena huo uongo mbuzi🙂
 
Juzi kati nilikuwa natoka kazini sasa kwa bahati mbaya ka mkweche changu kakaharibika mitaa ya manzese big brother ilikuwa ni mida ya saa kumi na mbili sasa nikakapeleka kwa fundi pale shiughuli ikamalizika kama kwenye saa tatu sasa nikaona uvivu kurudi kwangu tegeta nikaona isiwe tabu ngoja nichukue guest then nitaenda home kesho yake coz ilikuwa jumapili

sasa bwana wakati nachukua chumba kwenye moja ya guest kama unaenda mabibo iko bara barani nilishangaa napokueliwa na madada kama 4 hivi nikajiuliza hawa wote wahudumu? walikuwa wamevaa khanga moja wengine sasa mziki ikawa ni kelele kila saa watu wanaingia na kutoka nilishindwa kulala aisee coz guest zetu nadhani unazijua kukuru kakara za chumba kingine wewe unazisikia sasa nikajiuliza ina maana guest nyingi zina hii huduma??

wenye guest wanajua?

kuna jamaa yangu mmoja aliniambia kwa sewa wanafanya hayo mambo??

jamani kuna mtu anajua guest nyingine wanaoufanya huu ushenzi tuwaumbue kwa serikali maana ni aibu

Pale sinza afrika sana kama unaelekea mwenge toka stand ya africa sana, opposite na kenton high school, kuna gesti bubu pale vyumba vyote huwa vinachukuliwa na akina dada watowao huduma hizo. Najua siku ile pale manzese uliipenda hiyo huduma sasa unataka vijiwe vingine
 
Huyu jamaa atakufa vibaya asee.......kwa utaratibu huo.........mbaya sana hiyo!
 
Acha utani unakaa Tegeta gari inaharibika saa 3 unapiga usingizi guest!!!!!!!!??? Halafu kama haitoshi bado unaulizia na zingine zinazotoa huduma kama hiyo!!!!!!!!!!! duuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakati wewe una allergy na 'wachafuchafu' yeye akiwaona anachanganyikiwa!!
Mtu ananunua mihogo yote na machungwa yote,,,,,,,,,,then anaelekea nae mabibo!!!

Acha dharau. . .
Wachafu wachafu kwani kuna aliyezaliwa msafi?
 
aise umenivunja mbave sanguuuuuuuuuuuuu!!!
nimechekaaa sanaaa...dah!!etii wakwambie sihemu nyingine wanapotoaa hizoo udumaa,wee umeshindikanaa mkubwaaa?yanii za mabiboo hazijakutoshaa watakaaa nyinginee na nyingine.unamkeee wewee au bachelor????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom