Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Daaah changa la macho, na wakati wa kuhesabu kura si itakuwa giza nchi nzima? Nahivi tutakuwa 200m away!
 
Maskini ulikuwa unatutukana sana UKAWA.. Ya MUNGU mengi hatimaye umeuona ukweli.. Karibu kwenye mapigano ya kuipata Tanzania mpya

Yaani umeme kukosekana,napata taabu sana jamani Tanzania we do not deserve giza,yaani ngoja tubadilishe uongozi tuwape ukawa,na wao wakichemsha 2020 tunaweka uongozi mwingine
 
Yaani umeme kukosekana,napata taabu sana jamani Tanzania we do not deserve giza,yaani ngoja tubadilishe uongozi tuwape ukawa,na wao wakichemsha 2020 tunaweka uongozi mwingine

Hapo umenena.. Kura peleka Ukawa
 
Dawa ni kuiondoa ccm.hakuna njia nyingine ya kupata maendeleo ccm ikiwa madarakani.ondoa ccm ipigwe chini ccm.
 

Mkuu umeongea kitaalamu na umenipa mwanga kidogo. Tatizo Waziri wa Nishati na MADINI alituhakikishia Gas itaanza kutumika na September kutakuwa hakuna Tatizo. Vitu vya utaalamu tusichanganye na Siasi
 
Serikali ya CCM iendelee kuwadanganya watu wasiosoma na ambao hawana elimu pia na wazee wasio na fikla za mabadiliko wanaon'gan'gania chama cha CCM, ila kwa ufupi MTANZANIA serikali tuliyonayo ni serikali inayowafanya watanzania waonekane marofa na wapumbavu na ndio maana tuliambiwa hivyo kwa sababu hatutaki mabadiliko.
 

haya ndio madhara ya kudharau maneno ya wahenga. badala maCCM yaelewane na bibi wa gesi yamekazania kuwasha mabomba yasiyokuwa na gesi. ama kweli CCM ni janga la taifa.
 
Yaani umeme kukosekana,napata taabu sana jamani Tanzania we do not deserve giza,yaani ngoja tubadilishe uongozi tuwape ukawa,na wao wakichemsha 2020 tunaweka uongozi mwingine
Sawa sawa mkuu, hawa CCM madaraka yame walevya na sasa hawaogopi wala kujali chochote. Ni bora waka kaa pembeni ili ijulikane kuwa hakuna mwenye hati miliki ya hii nchi. Na UKAWA waki chemsha tunawapa ACT. CCM inahitaji mapumziko ya miaka kama 15 hivi.
 
Naona Bao la mkono wananchi wameamua kutengeneza wenyewe sasa.Tanesco ndiyo bao la mkono kutoka kwa wananchi.
 

Mtwara tuna letu jambo oct 25.
 
Manyoko wewe kuna MTU mchapakazi kwa mdomo kama Kikwete? Kama huyo kashindwa mwingine ndani ya ccm hayupo!!

Magufuli amesema Gas wamepewa wa China kwa miaka saba, tusiitegemee.
Simbachawene hajakanusha tamko hilo lililotolewa na mgombea wa CCM hivi karibuni, sasa sijui tuamini lipi kwa hawa viongozi wetu, ni majanga matupu. Ee mwenyezi mungu tuondolee hawa watu, inshaallah.
CCM ni uongo mbele kwa mbele, na ni ile ile.
 
Wanakazania hapa kazi tu
Tuwakatae kwa nguvu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…