valuablecock
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 783
- 801
Sidhani kama mpiga push ups anakumbuka ahadi zake.Yupo busy na uzinduzi wa viwanda.Hivi yule jamaa wa Muleba alisema vyerehani vingapi vinatosha kuwa kiwanda??Wakati wa kampeni tuligakikishiwa gesi haitapanda bei
Sidhani kama mpiga push ups anakumbuka ahadi zake.Yupo busy na uzinduzi wa viwanda.Hivi yule jamaa wa Muleba alisema vyerehani vingapi vinatosha kuwa kiwanda??
Huu ni ulimbukeni wa kutukuka.Nadhani ndio aina hii ya viwanda mkuu wa TAMISEMI amesisitiza vijengwe haraka.vinne mkuu
Hivi huu utaalamu unapatikana wapi kamanda?Hakuna namna ngoja tuanze kutumia gesi ya kinyesi cha ng'ombe tuu.
Hivi hii ile gas ya mtwara vipi!?
Hivi unaamini porojo za kampeni dr??Wakati wa kampeni tuligakikishiwa gesi haitapanda bei
Ile ya Mtwara bado haijakokomaa, subiri.Hivi hii ile gas ya mtwara vipi!?