Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo

Upo sahihi kabisa mkuu. Nimetoka kuagiza hapa, nashangaa naambiwa ni 22000. Nikajua nimepigwa.

Ila acha ipande maana tumeambiwa huu wakati ni wa kupita tu
 
Hii ndo Salaam yake kwenu kutoka kwa kiongozi wenu mtetezi wa wanyonge.
Na bado salaam zingine zitafuata.
Mpaka Maji muyaite Mmaa!!!
 
Hakika tunanyooshwa, hata pasi ina afadhali, huu mnyoosho ni wa kiwango cha concrete.
 
Alafu hili swali wala halitangazwi km mafuta linapanda na kushuka litakavyo.
 
Sasa kila siku nikiamka nakutana na pigo, hili jingine sasa, mkaa nao majanga....

Tuendelee kusubiri neema pengine itakuja!!

Vyuma kazika
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom