namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,434
- 945
Hahahah.... nunua kubwa mkuuGood! Sasa haka kagesi kangu kana tabia mbaya!!! Kanaweza isha siku ambayo bei imepanda tena!
Hahahah.... nunua kubwa mkuuGood! Sasa haka kagesi kangu kana tabia mbaya!!! Kanaweza isha siku ambayo bei imepanda tena!
Gesi ya Ntwara imeanza chimbwa tayari? Ahsante kwa taharifa mkuu jitahidi uhulizie Oryx[/QUO
Gesi ya mtwara haina uhusiano wowote na hii gesi ya majumbani kwani ile ni natural gas na hii inayotumika majumbani ni LPG!!
Hapana! Ntabako na haka hakaHahahah.... nunua kubwa mkuu
Viipi lake gas?Kuanzia kesho oryx gas zitauzwa
15 kg =44"500 badala ya 50"000
6kg =18"500 badala ya 21"000
Sijapata taarifa za mihani nao wanashusha ntawaletea
NB
BEI HIIZI N KWA WALE WANAONUNUA MZIGO KUANZIA KESHO
WALE WALIO.NA STOCK YA ZAMANI WANAHIMIZWA.KUANZIA JUL 01 WAWE WAMESHANZA KUUZA BEI ELEKEZI KAMA ILIVYO HAPO JUU
AHSANTE MH RAISI POLE POLE TUTASHUKA 30"000
Lake gas haishuki?Kuanzia kesho oryx gas zitauzwa
15 kg =44"500 badala ya 50"000
6kg =18"500 badala ya 21"000
Sijapata taarifa za mihani nao wanashusha ntawaletea
NB
BEI HIIZI N KWA WALE WANAONUNUA MZIGO KUANZIA KESHO
WALE WALIO.NA STOCK YA ZAMANI WANAHIMIZWA.KUANZIA JUL 01 WAWE WAMESHANZA KUUZA BEI ELEKEZI KAMA ILIVYO HAPO JUU
AHSANTE MH RAISI POLE POLE TUTASHUKA 30"000
Mkuu hii LPG(Gesi ya kupikia) haivunwi hapa tanzania. Nayo ina ingizwa kama mafuta ya petrol na diesel!! Hii ya kwetu ni natural gas ambayo japo inaweza tumika kupikia ila sio kwa kuwekwa kwenye mitungi ina bidi wakuunganishie bomba hadi nyumbani kwako ndio uweze kutumia kuna baadhi ya nyumba masaki wanatumia gesi hiyo ya mtwara,Vizuri, hata hivyo bado bei juu sana ikizingatiwa ges tunavuna wenyewe hapa hapa Tanzania, ilipaswa kwa kg 15 angalau iwe tsh 30,000 na kg 6 tsh 11500.
Dragon konyagi tena! Naomba nikukumbushe ile attachment yangi inbox uliyoniahidi kuwa majibu umeshayafanyia kazi ila kuna attachment ambayo ipo kweny PC yako na utanitumia. please assist.naulizia bei ya konyagi itashuka lini
Gas ya Mtwara has nothing to do na gas tunayotumia nyumbani. Ni vitu viwili tofauti kabisa.UnOna sasa kuna sababu gani kusifia kushuka bei ya gesi mbona jlipopsnda ulishangilia ges tunavuna wenyewe bado bei ya elf 44 ni kubwa sana
Kapime ujawepesiHabari nzuri
Nisivyopenda harufu ya gesi.. yaani haswaaaa siiwezi.
Weka mtungi nje ya nyumba ufunge mpira mrefuHabari nzuri
Nisivyopenda harufu ya gesi.. yaani haswaaaa siiwezi.
Kg 30 watauza tzs ngapi?
Gesi ya mtwara haiwezi kutumika kupikia majumbani. Ile sio LPGVizuri, hata hivyo bado bei juu sana ikizingatiwa ges tunavuna wenyewe hapa hapa Tanzania, ilipaswa kwa kg 15 angalau iwe tsh 30,000 na kg 6 tsh 11500.
Naungana na wewe mkuunaulizia bei ya konyagi itashuka lini
Mnalipa road license sh 40 tuVipi kuhusu mafuta ya taa? Nasie wenye majiko ya mchina tushangilie!