UnOna sasa kuna sababu gani kusifia kushuka bei ya gesi mbona jlipopsnda ulishangilia ges tunavuna wenyewe bado bei ya elf 44 ni kubwa sanaKuanzia kesho oryx gas zitauzwa
15 kg =44"500 badala ya 50"000
6kg =18"500 badala ya 21"000
Sijapata taarifa za mihani nao wanashusha ntawaletea
NB
BEI HIIZI N KWA WALE WANAONUNUA MZIGO KUANZIA KESHO
WALE WALIO.NA STOCK YA ZAMANI WANAHIMIZWA.KUANZIA JUL 01 WAWE WAMESHANZA KUUZA BEI ELEKEZI KAMA ILIVYO HAPO JUU
AHSANTE MH RAISI POLE POLE TUTASHUKA 30"000
Vipi kuhusu mafuta ya taa? Nasie wenye majiko ya mchina tushangilie!
Kuna gharama za uchakataji ndio maana haiwezi shuka hivyoVizuri, hata hivyo bado bei juu sana ikizingatiwa ges tunavuna wenyewe hapa hapa Tanzania, ilipaswa kwa kg 15 angalau iwe tsh 30,000 na kg 6 tsh 11500.
Sawa mkuu!
HahahahahaDuh afadhali maana elfu 3 kwenye ka Mihan kangu sio ndogo ati!
BTW hiyo 30k hapo mwishoni mwa habari yako unaomba assist kijanja nini?![]()
Good! Sasa haka kagesi kangu kana tabia mbaya!!! Kanaweza isha siku ambayo bei imepanda tena!
Inashukaje sasa?naulizia bei ya konyagi itashuka lini
Sintasahau! Ila nina swali... Ni kwamba unauza gesi au unataka ninunulia?Usisahau
Kama ka kwangu vile

pole! Mihan itakuwa chini zaidiDuh afadhali maana elfu 3 kwenye ka Mihan kangu sio ndogo ati!
BTW hiyo 30k hapo mwishoni mwa habari yako unaomba assist kijanja nini?![]()
chanzo cha habari yako bossKuanzia kesho oryx gas zitauzwa
15 kg =44"500 badala ya 50"000
6kg =18"500 badala ya 21"000
Sijapata taarifa za mihani nao wanashusha ntawaletea
NB
BEI HIIZI N KWA WALE WANAONUNUA MZIGO KUANZIA KESHO
WALE WALIO.NA STOCK YA ZAMANI WANAHIMIZWA.KUANZIA JUL 01 WAWE WAMESHANZA KUUZA BEI ELEKEZI KAMA ILIVYO HAPO JUU
AHSANTE MH RAISI POLE POLE TUTASHUKA 30"000
Wana msimbati tupieni infoHiyo bei ni hadi Mikoa ya Mtwara na Lindi?