Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 698
Comrade, kwani unafkiri policy makers hawajui hayo? Na tuna wachumi na wanasheria eg harvard graduate chenge..., wazuri kweli..., tatizo 10%, hizi ndo zinawavua watu utu..,Kwa nini tusizuie isichimbwe hadi hapo tutakapokubaliana terms za kututosheleza sote?
Comrade, kwani unafkiri policy makers hawajui hayo? Na tuna wachumi na wanasheria eg harvard graduate chenge..., wazuri kweli..., tatizo 10%, hizi ndo zinawavua watu utu..,
Hii niliiposti mwezi July nikitoa angalizo la uwezekano wa kudhulumiwa kwenye gesi kama tunavyodhulumiwa kwenye madini!. Chacha watu wa Ntwara ndio wameanka, wanachema pale hachitoki chitu!. Mwanzo wameanza kwa maandamano baada ya hapa itafuatia "uchimungunye wala uchipepese..ni nchale tuu!".Wanabodi,
Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.
Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hii ni "day light Robbery"
Hebu soma hapa chini!.
After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:
- Location of LNG Plant – should be constructed on land (not floating LNG on sea)
- Reasons: Mainly for monitoring and control purposes – monitoring is challenging because of lack of technology and control means
Infrastructure say not less than 51% – to have authority say and decision
- There should be only one plant.
- The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
making for the benefit of the country. It may be on PPP model.
- The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.
- KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA.
- MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO.
- GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.
MY TAKE!.
1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.
2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.
Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Pasco.
Wanabodi,
Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.
Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hii ni "day light Robbery"
Hebu soma hapa chini!.
After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:
on sea)
- Location of LNG Plant should be constructed on land (not floating LNG
- Reasons: Mainly for monitoring and control purposes monitoring is challenging because of lack of technology and control means
Infrastructure say not less than 51% to have authority say and decision
- There should be only one plant.
- The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
making for the benefit of the country. It may be on PPP model.
- The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.
- KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA.
- MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO.
- GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.
MY TAKE!.
1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.
2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.
Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Pasco.
Nilifikiri tungejifunza kutokana na madudu tuliyofanya kwenye migodi ya dhahabu! Kumbe bado tumelala usingizi wa pono.
Nadhani inabidi hali ya hewa ibadilike angalau kwa kipindi cha mwaka mmoja ili heshima ipatikane nchi hii.
Jmani bungeni nawatetea kwani mh. Johh John Mnyika amelalamika sana kuhusu hili na inatakiwa wanajf tumuunge mkono bunge halijahusishwa kwa namna yoyote ile.
Tukija kushagaa tutakuta gesi imeisha
Ofcourse gas ni ya mwekezaji,na ndio model inayotumika dunia nzima,kama mnataka serikali (United Republic) wawe shareholder basi inabidi wafanye investment kama wawekezaji wengine,lakini watapata wapi billions and technology za kutafuta gas huku hata kulipa mishahara ya wafanyakazi hawawezi? kilichobakia ni kuwakabidhi investors then wananchi wako wapate kazi na ukusanye kodi yako kama wakipata faida lakini,haya mambo ya madini,mafuta,gas etc ni very complicated business kwa nchi maskini na mara nyingi wanaofaidika ni investors,mkumbuke kwenye capitalist system anayefaidika ni yule anayebeba risk ....gas hata kama ipo Tanzania haiotakuwa ya bure na wala haitakuwa rahisi na wazalishaji wa umeme kama Tanesco watauziwa kwa bei ya soko na hakuna upendeleo labda serikali iingilie kati na kuwapa incetives investors kama kuwapunguzia kodi then may be wataweza kupunguza bei kidogo
Pamoja na 10% lakini hata professionalism ya kuingia mikataba ya madini hatuna.
Kwa nchi kama marekani kuna (American Association of Professional Landmen-AAPL), hapa kwetu hiki kitu hatuna na wala hakijulikani na wala hatuchukulii kama ni professional inayotakiwa. Ukisearch google unaweza jua kazi wanazofanya ulinganishe na hapa kwetu nani anafanya nini.
Hapa kwetu anayekuwepo wizarani ndio mshauri na msaini mkataba.