akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,349
- 4,988
Awamu ya viongozi vilaza hii usishangae mkuuUsikute huyu kilaza wa habari hajui tofauti ya kilometres na mita.
Awamu ya viongozi vilaza hii usishangae mkuuUsikute huyu kilaza wa habari hajui tofauti ya kilometres na mita.
Tupia live link tupate context ya story yake!Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa mfano kutoka Kinyarambo hadi Saadani Sekondari huko Iringa ni KM 40 kwahiyo ili nifike shule yako inabidi nitembee Kilometa 40 kwenda na kurudi ndipo nifike shule yako.
Hiyo hapa umetudanganya pakubwa Watz wa sasa sio wale wa miaka ile ambao hawajui Kilometa ni nini na mita ni nini.
View attachment 3587539
Labda alitaka kusema muda aliotumia kutembea unalingana na muda unaotumika katika safari ya 80km😀Kwanini alitembea umbali wote huo? Hiyo ni Nzega mjini-Puge/Ndala au Nzega to Isaka nauli ya 5000!!!
NB:Watu waliokulia maisha ya dhiki huwa na roho mbaya huko kazini kwa watu wanao wahudumia na ikiwa serikalini ndiyo kabisa.
Hivi huyu anaijuwa km 80 kweliKwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa mfano kutoka Kinyarambo hadi Saadani Sekondari huko Iringa ni KM 40 kwahiyo ili nifike shule yako inabidi nitembee Kilometa 40 kwenda na kurudi ndipo nifike shule yako.
Hiyo hapa umetudanganya pakubwa Watz wa sasa sio wale wa miaka ile ambao hawajui Kilometa ni nini na mita ni nini.
View attachment 3587539
Muongo sana huyuKwa dar ni kutoka mbagala mpk bagamoyo, mwamba anatembea tu
Roma alinambia hakuna mtoto wa rais anaye/aliyesoma shule ya kata we ndo unashibitishia umma.Ya 3
Hebu niache😂Roma alinambia hakuna mtoto wa rais anaye/aliyesoma shule ya kata we ndo unashibitishia umma.
Aseee.Kutembea km 80 kwa mwendo wa fasta inachukua masaa 12-14... ina maana siku nzima anatembea kwenda akifika shule ni anageuka tena 12 hrs jumla masaa 24 kwenda na kurudi. Darasani alikua anakaa saa ngapi?
Kwani alisoma shule gani iliyo mbali hivyo,alisoma nao watusaidieUyu alishawai sema mafuta yanauzwa tani kipindi kile anatolea ufafanuz kupanda kwa bei za mafuta
Atasema alimaanisha mita 80😄😀😀Naimani atakuja na ufafanuzi kama kawaida yake
🤣Atasema alimaanisha mita 80😄😀😀
Anatuona wote WAPUUZI kama yeye? 80km kwa miguu anazijua vizuri kilomita 80????Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa mfano kutoka Kinyarambo hadi Saadani Sekondari huko Iringa ni KM 40 kwahiyo ili nifike shule yako inabidi nitembee Kilometa 40 kwenda na kurudi ndipo nifike shule yako.
Hiyo hapa umetudanganya pakubwa Watz wa sasa sio wale wa miaka ile ambao hawajui Kilometa ni nini na mita ni nini.
View attachment 3587539
Anapenda kujiamlia mambo huyu!
Tume iingilie kati hili swala 😀😀Labda alitaka kusema km 8.0