Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,171
- 866,428
Halafu kuna maneno akiambiwa anasema anatukanwaKwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa mfano kutoka Kinyarambo hadi Saadani Sekondari huko Iringa ni KM 40 kwahiyo ili nifike shule yako inabidi nitembee Kilometa 40 kwenda na kurudi ndipo nifike shule yako.
Hiyo hapa umetudanganya pakubwa Watz wa sasa sio wale wa miaka ile ambao hawajui Kilometa ni nini na mita ni nini.
View attachment 3587539
Ila sijui wana shida gani huko.. Nikikumbuka takwimu za mafuta kwenye soko la dunia simlaumu huyu wa kilometers 80
Yaani alikuwa anatembea umbali wa DSM mpaka ruvu