MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,156
- 6,570
Upotoshaji?
Huwa nashangaa tu sijui mtakuwa mnalipwa fedha kiasi gani kuitetea hii serikali iliyofanya ukatili mpaka dunia inashangaa.
Upotoshaji?
Huwa nashangaa tu sijui mtakuwa mnalipwa fedha kiasi gani kuitetea hii serikali iliyofanya ukatili mpaka dunia inashangaa.
Unamaanisha mengine yote ni sawa? Yaani yalitokea hapa kwetu Tanzania? Yaani unakubaliana? Weka rekodi zako sawa tafadhari!Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?
Nadhani makaburini ( cemetery ) ni kiwanja pia hivyo kina mipaka. Inawezekana nguzo hiyo ni mpaka wa cemetery. Sijawahi kufika hapo. Ni mawazo tu.Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?
Nadhani makaburini ( cemetery ) ni kiwanja pia hivyo kina mipaka. Inawezekana nguzo hiyo ni mpaka wa cemetery. Sijawahi kufika hapo. Ni mawazo tu.Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?
Watu kubutuliwa ni kweli walibutuliwa,si walitaka kuipindua serikali!!Unamaanisha mengine yote ni sawa? Yaani yalitokea hapa kwetu Tanzania? Yaani unakubaliana? Weka rekodi zako sawa tafadhari!
Sidhani,ukitazama kwa picha ya juu ni viwanja vimekatwa,vina mipakaNadhani makaburini ( cemetery ) ni kiwanja pia hivyo kina mipaka. Inawezekana nguzo hiyo ni mpaka wa cemetery. Sijawahi kufika hapo. Ni mawazo tu.
Gerson atafanya vyema kufafanua ili kuondoa huu upotoshaji wa CNN.
Nyie ambao siyo kimba, ingieni tena..acha kuchochea mauaji wewe kimba
Karibuni..Tukutane #9D
Njia pekee ya kujibu ni kuwaleta Hai wale wote wanaaoneshwa kuuawa kwenye documentary hiyo."Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.
mzanzobar huyo anafuraia vifo vya wabaraKuna watu Wana comment mizaha, kejeri na lugha za maudhii...
CHIZII ANACHEKESHA KAMA HATOKEI KWAKO... ""HUWEZI KU FEEL A PLEASURE ALIYO NAYO KIPOFU..KAMA WEWE SIO KIPOFU ""
SIKU MAMA YAKE, BINTI YAKE MDOGO AKICHUKULIWA MBELE YAKE AKALAWITIWA MBELE YA MACHO YAKE AMA KAKA, BABA AU YEYE MWENYEWE MUDA HUU ANGEKUA MUDA HUU HANA MKONO WALA MGUU..AU ANGEPELEKWA MORTUARY AKIWA HAI NDIO ANGEJUA MACHUNGU NA MAUMIVU YA WALIO POTEZA WAPENDWA WAO..
MUDA HUU ANGEKUA HANA JICHO AU MKONO MMOJA MUDA HUU NDIPO AKILI ZINGE MREJEA
PENGINE LUCHA AKIONGEA HAYO MANENO MBELE YA HUYO BABA ALIE POTEZA MKEWE PENGINE KISU CHA SHINGO KITAKUA KINA BEMBEA SHINGONI KWAKE MUDA HUU..
NB. HAKUNA BINADAMU SPECIAL KILICHO FANYIKA NI CRIMES AGAINST HUMANITY.
Utoko mtupuKaribuni..
Mtapewa furaha mnayoitaka
utafanya nn shetan Samuya akiamua ?Kwamba ghafla tu wanazika kwenye kiwanja changu tena jirani na makazi ya watu,mimi mwenye kiwanja nikienda si ntajua na siri itafichuka