MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,678
- 42,731
Gerson atafanya vyema kufafanua ili kuondoa huu upotoshaji wa CNN.
Kakojoe ukalaleGerson atafanya vyema kufafanua ili kuondoa huu upotoshaji wa CNN.
Upotoshaji?Gerson atafanya vyema kufafanua ili kuondoa huu upotoshaji wa CNN.
Larry alisema hawezi kuja tz kuripoti uchaguzi anaogopa kuliwa kinyeoToo late
Wakati BBC wanatoa taarifa mara ya kwanza Govt waliulizwa ili ku balance story kama ethic zinavyotaka
Larry alikujwa wakamzuia Namanga akitokea Nairobi wakati ule mpaka umefungwa
Walipaswa kumpa their side of the story kabla hii haijatoka na najua walimtafuta ili kutaka ku compromise imeshindikana
Sasa atakachojibu ni mipasho kwa sababu hizo picha ni authentic na wamezi verify kwa forensic evidence na testimony za watu
na hiyo clip ni ya dk 5, wakitaka jamaa anaweza akaandaa documentary hata ya saa nzima kwa evidence waliyo nayo kwa picha alizotumiwa na zile za Mange
Ni bora wakae kimya kama mshauri wao mpya Tido Mhando atawashauri hivyo
huyo mmiliki atafanya nn wakiamua kuzika ?Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?