Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,156
- 41,785
Kwa kifupi sanaaaa. Gerson Msigwa hapambanii Profession (Taaluma) yake kwa sasa. Anapambania Tumbo lake na Wapendwa wake. Ni Mwandishi wa Habari wa Kitumwa kaseme hiki kafanye hivi. Full Stop.