PostGE2025 Gerson Msigwa asema ataitolea ufafanuzi documentary ya CNN

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.
Ukisikia kushambuliwa angani, majini na ardhini; ndiyo huku sasa! Mlio karibu naye mshaurini aache kupoteza muda kujibia kitu ambacho kiko wazi. Zaidi wataendelea tu kujidhalilisha.
 
Mtu mmoja amwambie Msigwa kuw CCN wametumia moja ya advanced satellite imagery platform inaitwa vantor.com

Hii inatumika kwenye sekta hizi mostly, deffence, intelligence, nk
 
Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?
Waulize askari wamezika wapi ndugu zetu?
Hii hamchomoki labda wapangeni tena wahadhiri wa kiislamu na BAKWATA waje na kiki nyingine
 
Kuhusu kaburi la halaiki uwongo aisee,picha za chini pale makaburini zinaonesha kuna nguzo za zege kuonesha mpaka wa kiwanja,hivi wanaweza zika mamia kwenye kiwanja cha mtu?
Kiwanja cha mtu ni kipi, ama hujui ardhi ni mali ya serekali? Kama rais ndio kaagiza mauji unawezaje kumzuia akiitaka?
 
Kwamba ghafla tu wanazika kwenye kiwanja changu tena jirani na makazi ya watu,mimi mwenye kiwanja nikienda si ntajua na siri itafichuka
 
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.
Hatuhitaji huo ufafanuzi, ni watu wazima hapa wasomi so asipoteze muda
 
Tusubiri tu uchunguzi upambe moto kipatikane kibali cha kufukua hayo makaburi ya AI....

Nonsense of a country, hata kama ni kujizima data sio kwa kiwango hiki
 
Ufafanuzi wa kupotea kutekwa na kuuwawa umeshindwa

Huu wa 29oct umeshindwa mpaka CNN wamekuletea details mezani kwako ni aibu nchi ipo uchi

Haufai kuwa hata msemaji wa familia
Media zoote Tz mmeziweka mfukoni

9dec ni siku ya UHURU.
 
Utaskia CNN wachochezi tunawaondoa kwenye visumbuzi vya nchi yetu...***** zenu in advance
 
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kwani tumemwambia kwamba tunataka serikali itujibu, tumeshaiona documentary and thats it, hatuhitaji ufafanizi wala uongo,stupid kabisa
 
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.
Kwani tumemwambia kwamba tunataka serikali itujibu
 
You can't control diarrhea by insert finger in your anus Mr Greyyii
 
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.

Itoke kwa kiEnglish ijitetee mbele ya jumuiya ya kimataifa

Sisi hapa ndani Tanzania tayari tumeshatoa hukumu dhidi ya utawala dhalimu gandamizi
 
CNN waliwatafuta for comment kama kawaida yao wakakimbia. Leo msigwa anasema wanaichambua.

Another nonsense from samia and msigwa
 
"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya Tanzania kupitia kwa Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali.
Hebu akae kimya na yeye huyu mpumbavu! Juzi wizara ya afya ilikana lakini haikupita hata nusu saa wakafuta taarifa! Mashuka ya MSD yaliwaumbua!
 
Kazini kwa Msigwa Kuna kazi!!!
20251109_101336.jpg
 
Back
Top Bottom