Leo Asbh Gerald hando amenigusa sana na kusema kama kweli viongozi wetu wana mambo yao katika shule za kata, na kuzipa majina yao, Sasa majina ya shule za kata ni ya viongozi tena wanasiasa wengine mafisadi tu, Je sisi kama watz tunalipokeaje hili la Gerald Hando, Excellent, Hata Jana nilisikia kipindi cha JAHAZI, Kayanda alifanya vizuri sana na aliweza kusema vitu vya maana kwa kutaja bei zilivyopanda, Je KIBONDE nataka aondoke katika hicho kipindi na aendelee na mc tu.
at least wanajaribu sasa ispokuwa KIBONDE
at least wanajaribu sasa ispokuwa KIBONDE