Gerald Hando na kipindi cha POWER BREAKFAST - jicho la ngómbe

Nashukuru kwa majibu mliyotoa. At last nimejua Am not the only person hating KIBONDE.

Natamani kile kipindi apewe Dr. Slaa atupe machungu na ari ya Uzalendo.
 
mzee wa mbofu mbofu aondoke tuu....anaharibu sana na kuifanya redio ionekane haifai na haina maadali. sijui kwann wamiliki hawalion hili na kulifanyia kazi

Leo Asbh Gerald hando amenigusa sana na kusema kama kweli viongozi wetu wana mambo yao katika shule za kata, na kuzipa majina yao, Sasa majina ya shule za kata ni ya viongozi tena wanasiasa wengine mafisadi tu, Je sisi kama watz tunalipokeaje hili la Gerald Hando, Excellent, Hata Jana nilisikia kipindi cha JAHAZI, Kayanda alifanya vizuri sana na aliweza kusema vitu vya maana kwa kutaja bei zilivyopanda, Je KIBONDE nataka aondoke katika hicho kipindi na aendelee na mc tu.

at least wanajaribu sasa ispokuwa KIBONDE
 
nasikia PJ amechafua hali ya hewa baada ya kulisifia gazeti la kuchambia(mtanzania) kwamba "limebobea katika habari za uchunguzi"
 
Leo Asbh Gerald hando amenigusa sana na kusema kama kweli viongozi wetu wana mambo yao katika shule za kata, na kuzipa majina yao, Sasa majina ya shule za kata ni ya viongozi tena wanasiasa wengine mafisadi tu, Je sisi kama watz tunalipokeaje hili la Gerald Hando, Excellent, Hata Jana nilisikia kipindi cha JAHAZI, Kayanda alifanya vizuri sana na aliweza kusema vitu vya maana kwa kutaja bei zilivyopanda, Je KIBONDE nataka aondoke katika hicho kipindi na aendelee na mc tu.

at least wanajaribu sasa ispokuwa KIBONDE

Kibonde nae kagusia kimtindo
 
Anaumwa ugonjwa wa upungufu wa kinga mwilini.

Mkuu Matola wewe kiboko, ulimpima? Au umemuona na dalili yeyote? Natumaini dalili haitakuwa kushindwa kuongoza kipindi cha Jahazi.

Kwa kweli nani ananiboa mno, angalau alipokuwa Gadner Jahazi ilikuwa na mvuto. Sasa yeye akiwa na wale wakina dada, Asma na Regina, wakati mwingine inakuwa kama Comedy si Comedy! Yaani hamna kitu kabisaa, nadhani kimekuwa kipindi kibaya kupita vyote Clouds. Hii inaonyesha Gdner ndiyo alikuwa anambeba enzi zile wakati wako naye alivyoachwa peke yake mambo ndiyo yanamdodea. Ila nasikia sijui amesoma na Joseph kusaga, sijui ni swahiba wake, hivyo anamlea maana hana kwa kwenda. Natumaini viongozi wa Clouds wanapita hapa Jamii, kama mko serias Kibonde mumuelekeze aangalie alama za nyakati siyo kuropoka tu, anawaharibia kweli...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom