Ndo nini sasa kutuonyesha makwapa yake?
Hivi ni kweli vijana wetu wamekuwa ni wa namna hiii?
Wewe uliyeleta picha hiz hapa una nia gani ?
Je wewe mleta picha na huyo mpigwa picha mna tofauti gani?
Mamb
Mambo ya faragha siku hizi yanawekwa hadharan,hizi mambo ukiwa hivi hakuna haja ya kupiga picha,kuna sehem za miili hazipasw kuonekana na watu tunaowaheshim na wanaotuheshim,sasa huyu mwehu hana wakwe?,dada zake na shangaz zake?ICT haikuja kwa kazi hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.