Na nyinyi acheni kuwa paranoid bana.
Chandarua chake mipanya buku inapenya!
Ila akina Ritz na propaganda zao zinazosaidiwa na wanaowaita ndugu wa damu wa Kiarabu wanamwona ni shetani..I like the guy aliwapa clear Mashoga, magaidi yet akashinda chaguzi zake....Bushi sis mliberali.
Wewe utakuwa unawashwaJK ebu mruhusu basi Dr Slaa naye akampokee amekuwa mkiwa sana.
like u:blah::blah:Nonsense.
hivi kuna nini hapa nchini.....?.....naogopa mwenzenu.........
nchi ishauzwa hii dai chako utambae......hivi kuna nini hapa nchini.....?.....naogopa mwenzenu.........
Preta kuna bidhaa adimu kama uranium, dhahabu, almasi, chuma, gas, misitu na si ajabu siku za usoni mafuta ya kumwaga n.k Mchina anazitaka na Mmarekani anazitaka sasa ndio wanapigana vikumbo huku kila mmoja akitaka kuhakikisha anawahi bidhaa hizo adimu na kuzimiliki milele kabla ya mwenzie huku Watanzania tukiambulia SIFURI.
Khaa!! Eti kuna tetesi mitaani kasikia kuwa Obama anataka kuuziwa Kigamboni wakati yeye alikwisha lipia tayari sasa amekuja kuhakikisha :gossip:hivi kuna nini hapa nchini.....?.....naogopa mwenzenu.........
JK ebu mruhusu basi Dr Slaa naye akampokee amekuwa mkiwa sana.