George W Bush arrives in Tanzania

George W Bush arrives in Tanzania

hivi kuna nini hapa nchini.....?.....naogopa mwenzenu.........

Shamba la bibi panyabuku wanajisevia mkuu!! Unadhani kungekuwa jangwa tu bila madini, uranium etc wangekuja?
 
Mbowe ni pandikizi la ccm hakuna lingine hata kauli zake ni za utata.

Kwanza mlillalamika wamesusa. Sasa wamekwenda halafu wamekuwa mapandikizi. Ninyi ni machichidodo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kimsingi Rais Bush alifanya mambo mengi sana ya kusaidia Africa kuliko marais waliomtangulia wa US

Ila akina Ritz na propaganda zao zinazosaidiwa na wanaowaita ndugu wa damu wa Kiarabu wanamwona ni shetani..I like the guy aliwapa clear Mashoga, magaidi yet akashinda chaguzi zake....Bushi sis mliberali.
 
Kama siyo umoja wetu wangesha tupiganisha wenyewe kwa wenyewe siku nyingi, lakini tuna utulivu na amani tumshukuru MUNGU kwahilo. Tuwaache wajichumie maana tukiwagomea tutaona chamoto, wakitaka kitu lazima wakipate kwa gharama zozote.

Sidhan km umea update kumbukumbu zako....CCCm kwa umasiki wa fikra wapo very busy kutuchonganisha.
 
R.I.P Nyerere-Tangu ututoke (Nowadays) Ikulu ni kituo cha kula bata tu na kuuza nchi. kazi kweli kweli.
 
Kimsingi Rais Bush alifanya mambo mengi sana ya kusaidia Africa kuliko marais waliomtangulia wa US
Yeye Ndie alietoa nafasi kubwa kwa weusi Kwenye cabinet yake,
Rice, Powell etc
 
hivi kuna nini hapa nchini.....?.....naogopa mwenzenu.........

Yaani nakumbuka enzi za ujana wetu mkisikia kuna kademu kamepevuka mtaani mnakafuatilia ile mbaya hasa ukijua utaambulia kupata bikra, Sasa Tanzania nailinganisha na kademu bikra walume wanakafukuzia bila aibu mchana kweupee, vidume vyenyewe ndio akina Xi Ping, Bush, Obama nk nk
 
Taarifa ya habari ya asubuhi imedai Rais wa zaman wa Marekan na mkewe nao leo watatua nchini hapa tujiulize nini kinaendelea
 
Nini kinaendelea wakati hapa ni kwao,kuna mambo walikubaliana na JK alipokuja kukaa zile siku 4 sasa inasemekana ziara ya rais wa china ilibadlisha baadhi ya vitu sasa Bush anakuja kama shahidi(just kidding),pili issue ya Kigamboni imepamba moto.
 
Nasikia huyu Bush yupo hapa Bongo kitambo hata kabla ya Obama kuja,hizo zingine ni sinema tu za kitoto.
 
Back
Top Bottom