George W Bush arrives in Tanzania

George W Bush arrives in Tanzania

PgSoft2008

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Posts
264
Reaction score
73
wapendwa George Bush Nae amewasili Tanzania Usiku huu.
 
Anakuja kuchair mkutano wa wanawake wa marais
 
Preta kuna bidhaa adimu kama uranium, dhahabu, almasi, chuma, gas, misitu na si ajabu siku za usoni mafuta ya kumwaga n.k Mchina anazitaka na Mmarekani anazitaka sasa ndio wanapigana vikumbo huku kila mmoja akitaka kuhakikisha anawahi bidhaa hizo adimu na kuzimiliki milele kabla ya mwenzie huku Watanzania tukiambulia SIFURI.
hivi kuna nini hapa nchini.....?.....naogopa mwenzenu.........
 
Last edited by a moderator:
Kama siyo umoja wetu wangesha tupiganisha wenyewe kwa wenyewe siku nyingi, lakini tuna utulivu na amani tumshukuru MUNGU kwahilo. Tuwaache wajichumie maana tukiwagomea tutaona chamoto, wakitaka kitu lazima wakipate kwa gharama zozote.
 
U are right alichokifanya bush kwa africa na programme za ukimwi na malaria ni kitu kikubwa zaid kuwai fanywa na rais yoyote wa marekani kwa africa pamoja na ubaya wote wa bush
 
Back
Top Bottom