Yetu macho.Jamaa wanatamba tu mbona nchi yao.Sisi tuna nini, kama wanavyo tuita wenyewe,"chaff in the wind!"
wapendwa George Bush Nae amewasili Tanzania Usiku huu.
wapendwa George Bush Nae amewasili Tanzania Usiku huu.
ahache kuharibu ndoa za watu kwanza.JK ebu mruhusu basi Dr Slaa naye akampokee amekuwa mkiwa sana.
Huyo huwa anakuja mara kwa mara mbona...
usiogope, ukitaka kusaidiwa usihoji ila uwe na roho ya upendo kwa wageni wako, as we always do.hivi kuna nini hapa nchini.....?.....naogopa mwenzenu.........
Mbowe ndani ya Ikulu anakula bata.
Kama siyo umoja wetu wangesha tupiganisha wenyewe kwa wenyewe siku nyingi, lakini tuna utulivu na amani tumshukuru MUNGU kwahilo. Tuwaache wajichumie maana tukiwagomea tutaona chamoto, wakitaka kitu lazima wakipate kwa gharama zozote.
Kuwa Mtumwa kunakufanya usijiamini sana na kujiona dhaifu
Unaweza kuona aibu hata mama yako akija kukupokea pale airport siku unarudi kwenu ili Rafiki zako wasimuone!
Utumwa mbaya sana hasa kwenye nchi za watu.
Nonsense.
Yaan bora nchi kumpa Mtanga au Kiwewe na co mtu anaependa sifa hata kwa kuuza utu wa raia wake ili tu kupata sifa nasema Mungu yupo na ww acha ushamba.Ninachompendea JK ni kutia fora, tena kajiwekea rekodi ambayo itachukua miongo kuvunjwa.
1. Katika uongozi wake, tumeshuhudia marais wa awamu mbili tofauti wa Marekani wakizuru nchini tena kwa zaidi ya siku mbili.
2. Ni rais pekee barani Africa kuona nchi yake ikitembelewa na US presidents wawili katika awamu yake ya uongozi.
3. Ni JK pekee anayegonganisha vichwa vya wababe wa dunia huku marais wao wakipishana katika anga la Tanzania.
4. Huyu ndie JK, mzee wa fora.
5. Ila sijajua atatuacha katika mazingira gani pindi aondokapo madarakani, sijui atatuachia rekodi gani nyingine mpya.
Hii ndio Tanganyika na rais wetu akiwa ni JMK.
Ha ha haaa Ritz muereze aerewe huyu shemeji matata hiyo yote ni tamaa ya kwenda magogoniJana Mbowe aliwakimbia akaenda Ikulu kula bata, teh teh teh chezea Mbowe.
wewe mzazi wako akiuliwa kinyama na mtu, kisha akakujengea nyumba apo apo utamuabudu