GE2025 George SimbaChawene can be the best PM if appointed

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Namba 4 hapo 😂🙌
 
Ccm inahazina ya viongozi wengi na wote wanatafuta ugali mkubwa kwa kadri ya uwezo wao acha mida utaongea.
 
Acha utapeli
 
Mtoto wake ndio atakuwa jeuri zaidi alipokuwa waziri mambo ya ndani mwanae aliwatukana matrafic na hajachukuliwa hatua yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…