George masatu

George masatu

PAMBA FC MIAKA YA 80 (KUMBUKUMBU)


Wadau hiki ni kikoso cha Pamba ya Mwanza in late 80's to early 90's:

1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,

5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
Mkuu umenikumbusha those days when men were men!!
 
Jamaa alikuwa akisimama pale nyuma katika ukuta alikuwa katulia sana. Hata mashambulizi yawe makali vipi alikuwa hababaiki halafu ni mtu poa sana.

Pamba na Simba mkuu ila kabla ya kuja pamba sijui alitokea wapi!
 
Magere Masatu George ......

Alikuwa ni mchezaji mfupi aliye kuwa anacheza beki number 5, lakini ndio alikuwa mchezaji ambaye amaweza sana kucheza mipira ya vicha, pia alikuwa ni fundi wa kupiga penati.

Nani Zaidi kati ya G.M. Masatu na Godwin Kichemu wa Iliyokuwa RTC Kagera baadaye Kagera Stars na sasa Kagera Sugar?
 
Mkuu umenikumbusha those days when men were men!!

Uwezo wa hao watu ni sawa ni zaidi ya Akina Chamack wa Arsena but they still poor or died poor
This world is never fair at all
 
Nimekupata mkuu,ila George Masatu ninayemsema mimi ni huyu alishawahi kuwa beki wa simba kipindi fulani kumbe pia alishawahi kuwa kipa pia wa toto afrikan sikuwahi kusikia kabisa kama alikuwa kipa pia!

Washavuta bangi hao achana nao wasikupotoshe
 
View attachment 73916
waliosimama kutoka kushoto. ni rashid msemakweli(dr)abdalla kibaden,Often Martin,Razak yussouf,George Lucas,Iddi seleman,Damain Kimti,Abdul Mashine,George Masatu,Enten Eshete,Mzee Abdulrahman Muchacho.
Chini kutoka kushoto ni.Kasongo Athuman,Selemani Pembe,Edward Chumila,Dua bin Said,Fikiri Magoso,Malota Soma na Mohamed Mwameja.
Hii ilikuwa ni mechi ya Simba na Yanga 1-0 mfungaji Dua Said.Captain wa Simba siku hii alikuwa ni Rashid Abdall Magongo ambae hayupo ktk picha alikuwa na waamuzi pamoja na Nahodha wa Yanga keneth Mkapa.

Bora wewe umekuja na kitu useful wengine humu wametoka kupuliza kitu cha Arusha ndo wameingia kwenye hii thread
 
Alichezea timu gani miaka ya 1990
kaka usife moyo kwa majibu yakibwege uyapatayo hapa,tatizo kuna watu wanajifanya wanajua sana humu na wanafikiri kila mtu anajua kila kitu.kama nina kumbukumbu nzuri nafikiri ni simba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom