George masatu

Nyie wote hamjui hili hapa jibu ahh limeenda wapi ?ahh wewe lete hiyo karatasi hapa haraka ........ Ngoja ntarudi baadaye.
 
Hili Jukwaa pia ni la kuelimishana. Ahsante kwa maarifa yako juu ya hilo pia.


Tena Simba wa Serengeti wanapanda miti, hawali nyama bila pilipili, hawakimbizi adui umbali mrefu, wakikamata mnyama kisha Fisi wakija basi wao wanasusa na kuondoka...yaaani rrrrraha
 
[h=3]PAMBA FC MIAKA YA 80 (KUMBUKUMBU)[/h]
Wadau hiki ni kikoso cha Pamba ya Mwanza in late 80's to early 90's:

1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,

5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
 
image_thumb36.png
waliosimama kutoka kushoto. ni rashid msemakweli(dr)abdalla kibaden,Often Martin,Razak yussouf,George Lucas,Iddi seleman,Damain Kimti,Abdul Mashine,George Masatu,Enten Eshete,Mzee Abdulrahman Muchacho.
Chini kutoka kushoto ni.Kasongo Athuman,Selemani Pembe,Edward Chumila,Dua bin Said,Fikiri Magoso,Malota Soma na Mohamed Mwameja.
Hii ilikuwa ni mechi ya Simba na Yanga 1-0 mfungaji Dua Said.Captain wa Simba siku hii alikuwa ni Rashid Abdall Magongo ambae hayupo ktk picha alikuwa na waamuzi pamoja na Nahodha wa Yanga keneth Mkapa.
 
Magere Masatu George huyu alianza kusakata mpira pamba ya mwanza inzi hizo akiwa na kina Hussen Marsha wakati huo Pamba ya mwanza ilikuwa ndio timu ambayo ilikuwa inatowa wachezaji wengi kwenda timu nyingi hapa tanzania na hasa simba.

Kisha Magere Masatu alihamia Simba pamoja na Hussen Marsha na wengine unaweza kusema kizazi hiki kwa Pamba ya mwanza ndio kilikuwa kizazi cha dhahabu kwani walipo ondoka wachezaji hao ndio pamba ya mwanza ilipo anza kupotea.

Mchezaji huyu aliumia akiwa timu ya taifa na ilionekana kwamba mguu wake hauwezi pona lakini alikuwa ni azim dewji mdhamini wa simba ndio walimlipia matibabu na alipo pona majeraha hayo ya goti alianza kuitumikia simba kwa moyo wake wote.

Alikuwa ni mchezaji mfupi aliye kuwa anacheza beki number 5, lakini ndio alikuwa mchezaji ambaye amaweza sana kucheza mipira ya vicha, pia alikuwa ni fundi wa kupiga penati.
 
PAMBA FC MIAKA YA 80 (KUMBUKUMBU)


Wadau hiki ni kikoso cha Pamba ya Mwanza in late 80's to early 90's:

1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,

5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin



Kikosi kina wachezaji kumi na sita tu (16) imekuaje mkuu?

Ndiyo idadi sahihi kwa wakati huo?
 
[h=3]PAMBA FC MIAKA YA 80 (KUMBUKUMBU)[/h]
Wadau hiki ni kikoso cha Pamba ya Mwanza in late 80's to early 90's:

1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,

5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin


Kikosi hiki Deo Mkuki anacheza namba 3...

Period
 
PAMBA FC MIAKA YA 80 (KUMBUKUMBU)


Wadau hiki ni kikoso cha Pamba ya Mwanza in late 80's to early 90's:

1. Paul Rwechungura,
2. David Mwakalebela,
3. Abdallah Boli,
4. George Masatu,

5. Rashid Abdallah,
6. Hussein Marsha,
7. Beya Simba,
8. Khalfan Ngassa,
9. Fumo Felician,
10. Hamza Mponda,
11. George Gole

Reserve: Nico Bambaga, Juma Amir, Maonwa Mkami, James Washokera, Andrew Godwin
Juma Mhina
Madata Lubigisa
Ibrahim Magongo
Raphael Paul(RIP)
Issa Meloo
Khalid Bitebo (Zembwela)
Danny Muhoja
Kitwana Suleimani
 
Alichezea au alikuwa mchezaji wa Pamba ya Mwanza na Simba sports club ya Dar es salaam!
 
Back
Top Bottom