Takalani Sesame
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 588
- 164
Alichezea timu gani miaka ya 1990
Pamba ya Mwanza na Simba SC.
Alichezea timu gani miaka ya 1990
Mr.creative njoo soma majibu hukuWacha kumdanganya mwenzio bana,
George Magere Masatu, Alichezea LIDICO ya Lindi kama mshambuliaji wa kutumainiwa kabla ya kuhamia Pan African ambako alimalizia Soka lake pale.
Kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa Mpya wa SIMIYU
Pamba ya mwanzaAlichezea timu gani miaka ya 1990
unatafuta bwana!SIO BUREEti nae kaanzisha topiki!!
Alichezea timu gani miaka ya 1990
Wacha kumdanganya mwenzio bana,
George Magere Masatu, Alichezea LIDICO ya Lindi kama mshambuliaji wa kutumainiwa kabla ya kuhamia Pan African ambako alimalizia Soka lake pale.
Kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa Mpya wa SIMIYU
umesahau mwaka jana wakati wa dirisha dogo alienda fc barcelona
unatafuta bwana!SIO BURE
yanga kama sikosei
Pamba na Simba mkuu ila kabla ya kuja pamba sijui alitokea wapi!
Pamba alikwenda pale akiwa kama kocha wa makipa lakini alikuwa ni golikipa wa Toto Africa...
Nimekupata mkuu,ila George Masatu ninayemsema mimi ni huyu alishawahi kuwa beki wa simba kipindi fulani kumbe pia alishawahi kuwa kipa pia wa toto afrikan sikuwahi kusikia kabisa kama alikuwa kipa pia!