Jamaa anatabia ya kutongoza wake za watu sana alishawai mtongoza demu wangu alikua anafanyakazi musoma vijijini basi nikachukua namba yake toka kwa demu wangu alafu nikampigia Marato nikijifanya police nikampa biti la hatari mpaka akaomba msamaha.kumbe jamaa yawezekana ndo mchezo wake kutongoza wake za watu.Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.
[emoji107]Afungwe maisha yake yote au anyongwe kabisa na uwe mfano kwa wanaume wengine wanaopenda kuchukua hatua za kipumbavu ila ya kuwa na subira.
Kachapiwaa na wamkoani mwenzake.Wamikoani AGAIN
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WANACHAPIWAAAA
Mtenda akitendewa huhisi ameonewa.Jamaa anatabia ya kutongoza wake za watu sana alishawai mtongoza demu wangu alikua anafanyakazi musoma vijijini basi nikachukua namba yake toka kwa demu wangu alafu nikampigia Marato nikijifanya police nikampa biti la hatari mpaka akaomba msamaha.kumbe jamaa yawezekana ndo mchezo wake kutongoza wake za watu.
Unasema tu mkuu,omba yasikufikeKwa kweli, mimi faster tu, aende zake ili awe huru na huyo jamaa, yaani wanawake wote hawa hadi wanafika hatua ya kutembea uchi barabarani ili tu watushawishi eti nije kumng'ang'ania mmoja tu! Akwende huko!
Siwezi kumlaumu George Marato.Na Hata kuuwa angeweza kuuwa kabisa.
Issue ya mahusiano ni ngumu si rahisi kama unavyoichukuliwa.
Tofauti ya mahusiano kati ya MTU na MTU ni jinsi ubongo wako ilivyoyapa uzito na kuyathamini.
Speech less
Ndo huwa mambo yake hayo ila naye kapatikanaJamaa anatabia ya kutongoza wake za watu sana alishawai mtongoza demu wangu alikua anafanyakazi musoma vijijini basi nikachukua namba yake toka kwa demu wangu alafu nikampigia Marato nikijifanya police nikampa biti la hatari mpaka akaomba msamaha.kumbe jamaa yawezekana ndo mchezo wake kutongoza wake za watu.
Nina uhakika unamfahamu vizuri Mama Jeremiah aka mtoto wa Mzee Malomo ukiachilia mbali yule mama wawili!Mapenzi ni kitu kingine,huoni hata Mbowe anamwita Wema baby,wakati hajawahi mwita darling mkewe Liliane.Pole George naona ulitaka kuua kwa sababu ya mapenzi.
Wasukuma asili yao mhali,gupalika.Nina uhakika unamfahamu vizuri Mama Jeremiah aka mtoto wa Mzee Malomo ukiachilia mbali yule mama wawili!
Hayana formulamapenzi bwana.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kachapiwaa na wamkoani mwenzake.